Visit on Instagram

Nesi mmoja nchini Ujerumani amekutwa na hatia ya kuua wagonjwa 85 katika hospitali mbili kaskazin mwa Ujerumani na kupatiwa adhabu ya kifungo cha maisha jela.
Jaji Sebastian Buehrmann ametaja vitendo vya mauaji vya nesi huyo Niels Högel

Nesi mmoja nchini Ujerumani amekutwa na hatia ya kuua wagonjwa 85 katika hospitali mbili kaskazin mwa Ujerumani na kupatiwa adhabu ya kifungo cha maisha jela. Jaji Sebastian Buehrmann ametaja vitendo vya mauaji vya nesi huyo Niels Högel "haviingii akilini." Högel, ambaye anatumikia vifungo vingine viwili vya maisha jela kwa mauaji ya wagonjwa, alikuwa akidunga dozi kali za dawa za moyo kwa watu aliokuwa akiwahudumia baina ya mwaka 1999 na 2005. #love #life #crazy #future #best #tanzania #followforfollowback #followme #gucci #music #fashion #london #nigeria #southafrica #cannada #k #lifestyle #likeforfollow #like4likes #new #video #dance #newyork #beautiful #world #time #wait #verttherapper #newsdayswahili

#love #life #crazy #future #best #tanzania #followforfollowback #followme #gucci #music #fashion #london #nigeria #southafrica #cannada #k #lifestyle #likeforfollow #like4likes #new #video #dance #newyork #beautiful #world #time #wait #verttherapper #newsdayswahili

Instagram Follow Adder