Visit on Instagram

Tuna mengi ya kujifunza kutoka kwenye aya hii hasa katika kipindi hiki . . .

Mwenyezi Mungu atujaalie tuwe ni wenye kuitunza na kuitumia vizuri neema ya Amani na Utulivu . . .

Na atujaalie tusiwe ni miongoni mwa wenye kuzikufuru neema zake . . .

Aaamin.

#quran #tanzania #jifunzekusomaquran #swahili #election #tanzaniaelections2020

Tuna mengi ya kujifunza kutoka kwenye aya hii hasa katika kipindi hiki . . . Mwenyezi Mungu atujaalie tuwe ni wenye kuitunza na kuitumia vizuri neema ya Amani na Utulivu . . . Na atujaalie tusiwe ni miongoni mwa wenye kuzikufuru neema zake . . . Aaamin. #quran #tanzania #jifunzekusomaquran #swahili #election #tanzaniaelections2020

#quran #tanzania #jifunzekusomaquran #swahili #election #tanzaniaelections2020

Instagram Follow Adder