Visit on Instagram

Mapema leo tukikabidhi vifaa vya Shule katika kituo cha kulelea watoto MASJID BARAKAT (MASJID BARAKAT ORPHANAGE CENTER) kilichopo wilaya ya Kigamboni jijini Dar es salaam. Hii ni kufuatia tamko la ufunguzi wa shule zote  kitaifa  kutoka  kwenye likizo ndefu ya Quarantine ya Corona/Covid -19 lakini pia tulipata wasaa wa kuzungumza na vijana na watoto wanaolelewa katika kituo hicho kuhusu madhara ya madawa ya kulevya .
#tuwajali
#charity
#sikuyakupingamatumiziya madawayakulevya
#INTERNATIONLDAYAGAINSTDRAGABUSE
#IDAD2020

@fahari_yangu @sophia_selemani06 @jacqueline_kinyaiya @winycage @viviennebeautifulprojects @savecommunityhealthinitiative @machokwajamii_  @ywcavan @twaamentorship @tgnptz @bjinitiative @ladiesjointforum @rachelnzengo @wildaftz @uniceftz @una_tz  @self_reliance_foundation @irenekiwia @salummruma

Mapema leo tukikabidhi vifaa vya Shule katika kituo cha kulelea watoto MASJID BARAKAT (MASJID BARAKAT ORPHANAGE CENTER) kilichopo wilaya ya Kigamboni jijini Dar es salaam. Hii ni kufuatia tamko la ufunguzi wa shule zote kitaifa kutoka kwenye likizo ndefu ya Quarantine ya Corona/Covid -19 lakini pia tulipata wasaa wa kuzungumza na vijana na watoto wanaolelewa katika kituo hicho kuhusu madhara ya madawa ya kulevya . #tuwajali #charity #sikuyakupingamatumiziya madawayakulevya #INTERNATIONLDAYAGAINSTDRAGABUSE #IDAD2020 @fahari_yangu @sophia_selemani06 @jacqueline_kinyaiya @winycage @viviennebeautifulprojects @savecommunityhealthinitiative @machokwajamii_ @ywcavan @twaamentorship @tgnptz @bjinitiative @ladiesjointforum @rachelnzengo @wildaftz @uniceftz @una_tz @self_reliance_foundation @irenekiwia @salummruma

#tuwajali #charity #sikuyakupingamatumiziya #INTERNATIONLDAYAGAINSTDRAGABUSE #IDAD2020

Instagram Follow Adder