Visit on Instagram

Waislamu nchini Rwanda na Uganda hii leo (Jumanne Juni 4, 2019) wanasherehekea sikukuu ya Eid ul-Fitr na kuadhimisha kukamilika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Jijini Kigali, waumini wa dini hiyo wakiongozwa na Mufti wao Sheikh Salim Hitimana wanatarajiwa kusali sala ya Eid katika viwanja vya Nyamirambo.
Mufti huyo alitoa tangazo la Eid nchini humo Jumatatu jioni, sawa na Uganda ambapo Baraza Kuu la Waislamu pia lilitoa tangazo kama hilo.
Katika salamu zake za Eid, Mufti Hitimana amewanasihi waislamu kuendelea kutenda mema kama walivyokuwa wakifanya katika kipindi chote cha Ramadhan.
#love #life #crazy #future #best #tanzania #followforfollowback #followme #gucci #music #fashion #london #nigeria #southafrica #cannada
#k #lifestyle #likeforfollow #like4likes #new #video #dance #newyork #beautiful #world #time #wait #verttherapper #newsdayswahili

Waislamu nchini Rwanda na Uganda hii leo (Jumanne Juni 4, 2019) wanasherehekea sikukuu ya Eid ul-Fitr na kuadhimisha kukamilika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Jijini Kigali, waumini wa dini hiyo wakiongozwa na Mufti wao Sheikh Salim Hitimana wanatarajiwa kusali sala ya Eid katika viwanja vya Nyamirambo. Mufti huyo alitoa tangazo la Eid nchini humo Jumatatu jioni, sawa na Uganda ambapo Baraza Kuu la Waislamu pia lilitoa tangazo kama hilo. Katika salamu zake za Eid, Mufti Hitimana amewanasihi waislamu kuendelea kutenda mema kama walivyokuwa wakifanya katika kipindi chote cha Ramadhan. #love #life #crazy #future #best #tanzania #followforfollowback #followme #gucci #music #fashion #london #nigeria #southafrica #cannada #k #lifestyle #likeforfollow #like4likes #new #video #dance #newyork #beautiful #world #time #wait #verttherapper #newsdayswahili

#love #life #crazy #future #best #tanzania #followforfollowback #followme #gucci #music #fashion #london #nigeria #southafrica #cannada #k #lifestyle #likeforfollow #like4likes #new #video #dance #newyork #beautiful #world #time #wait #verttherapper #newsdayswahili

Instagram Follow Adder