Visit on Instagram

#BreakingNews Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa ya dhamana iliyoombwa na mawakili wa viongozi wa chama Demokrasia na Maendeleo CHADEMA akiwemo mwenyekiti FREEMAN MBOWE hadi hapo maamuzi yatakapotolewa na mahakama ya rufani kwa notice ya mwendesha mashtaka mkuu.

Kwa maamuzi hayo viongozi wa CHADEMA FREEMAN MBOWE na Mbunge wa wa Tarime Mjini, ESTER MATIKO wamerudishwa rumande mpaka hapo kesi hiyo itakapotajwa tena.

#BreakingNews Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa ya dhamana iliyoombwa na mawakili wa viongozi wa chama Demokrasia na Maendeleo CHADEMA akiwemo mwenyekiti FREEMAN MBOWE hadi hapo maamuzi yatakapotolewa na mahakama ya rufani kwa notice ya mwendesha mashtaka mkuu. Kwa maamuzi hayo viongozi wa CHADEMA FREEMAN MBOWE na Mbunge wa wa Tarime Mjini, ESTER MATIKO wamerudishwa rumande mpaka hapo kesi hiyo itakapotajwa tena.

#BreakingNews

Instagram Follow Adder